Ufafanuzi wa baba wa kupanga katika Kiswahili

baba wa kupanga

  • 1

    mwanamume anayemlea mtoto ambaye si wake wala wa mkewe.