Ufafanuzi wa babaika katika Kiswahili

babaika

kitenzi sielekezi~ia, ~ika, ~isha

  • 1

    kuwa na wasiwasi; kutokuwa makini.

    taharaki, yugayuga, paparika

  • 2

    ota na sema usingizini.

    weweseka

Matamshi

babaika

/babaIka/