Ufafanuzi wa babaishwa katika Kiswahili

babaishwa

kitenzi sielekezi

  • 1

    changanyikiwa na shindwa kutoa uamuzi au kufanya jambo kwa usahihi.

  • 2

    fanywa kuwa na wasiwasi.

Matamshi

babaishwa

/babaI∫wa/