Ufafanuzi wa babaje katika Kiswahili

babaje

nominoPlural mababaje

  • 1

    aina ya koa anayeishi baharini.

    kojojo, kojozi

Matamshi

babaje

/babaʄɛ/