Ufafanuzi wa Babakrismasi katika Kiswahili

Babakrismasi

nominoPlural Babakrismasi

Kidini
  • 1

    Kidini
    mtu wa kidhahania anayevishwa mavazi mekundu na ndevu ndefu nyeupe ambaye huburudisha watoto wakati wa Krismasi.

Matamshi

Babakrismasi

/babakrismasi/