Ufafanuzi wa babatana katika Kiswahili

babatana

kitenzi sielekezi

  • 1

    shikamana baada ya kukandamizwa.

    ‘Chapati zimebabatana’

Matamshi

babatana

/babatana/