Ufafanuzi wa babia katika Kiswahili

babia

kitenzi elekezi~ana, ~ka, ~lia, ~sha, ~wa

  • 1

    fanya jambo ambalo huna ujuzi nalo.

    bambanya, babaisha, okoteza

Matamshi

babia

/babija/