Ufafanuzi wa badhiri katika Kiswahili

badhiri

kitenzi elekezi

  • 1

    tumia kitu, agh. mali, kwa fujo.

  • 2

    fuja

Asili

Kar

Matamshi

badhiri

/baĆ°iri/