Ufafanuzi wa badilika katika Kiswahili

badilika

kitenzi sielekezi~ia

  • 1

    (kwa tabia, hali, afya, n.k.) kuwa tofauti na ilivyokuwa mwanzo.

    ‘Tabia yake imebadilika siku hizi’

Matamshi

badilika

/badilika/