Ufafanuzi wa badiliko katika Kiswahili

badiliko

nominoPlural mabadiliko

  • 1

    hali inayokuwako baada ya kutokea mageuzo fulani.

    geuko, geuzo

Matamshi

badiliko

/badilikɔ/