Ufafanuzi msingi wa baghala katika Kiswahili

: baghala1baghala2

baghala1

nominoPlural baghala

  • 1

    aina ya jahazi lililonakshiwa vizuri lenye tezi kubwa na milingoti miwili.

Ufafanuzi msingi wa baghala katika Kiswahili

: baghala1baghala2

baghala2

nominoPlural baghala

  • 1

    mnyama mkubwa anayezaliwa kutokana na mchanganyiko wa punda na farasi na ambaye hawezi kuzaa.

    methali ‘Tukikosa farasi twaridhia baghala’
    nyumbu

Asili

Kar

Matamshi

baghala

/baɚala/