Ufafanuzi wa bagua katika Kiswahili

bagua

kitenzi elekezi

  • 1

    weka mbali na.

  • 2

    tenga kulingana na matabaka ya watu, kabila, rangi, dini zao, n.k..

  • 3

    nyanyapaa

Matamshi

bagua

/baguwa/