Ufafanuzi wa bahaluli katika Kiswahili

bahaluli

nomino

  • 1

    mtu mpumbavu asiyetumia akili yake.

Asili

Kar

Matamshi

bahaluli

/bahaluli/