Ufafanuzi wa bahashika katika Kiswahili

bahashika

kitenzi sielekezi~ia, ~ika, ~isha

  • 1

    hangaika kwa kujitia katika njia za upotovu.

  • 2

    kosa kujua la kufanya.

    fadhaika, duwaa, pumbaa, ajabia, shangaa

Matamshi

bahashika

/baha∫ika/