Ufafanuzi wa baidika katika Kiswahili

baidika

kitenzi sielekezi~ia, ~ika, ~isha

  • 1

    kuwa mbali na.

    jitenga, jitanibu

Matamshi

baidika

/baIdika/