Ufafanuzi wa bainika katika Kiswahili

bainika

kitenzi sielekezi

  • 1

    kuwa dhahiri.

    ‘Sasa imebainika kuwa Juma si mwongo’

Matamshi

bainika

/bajinika/