Ufafanuzi wa baiskeli katika Kiswahili

baiskeli

nominoPlural baiskeli

  • 1

    chombo chenye magurudumu mawili ya mpira kinachoendeshwa kwa kuzungusha pedali.

Asili

Kng

Matamshi

baiskeli

/bajiskɛli/