Ufafanuzi wa bakaa katika Kiswahili

bakaa

nomino

  • 1

    masalio ya vitu.

  • 2

    baki la fedha.

    mabaki, albaki

Asili

Kar