Ufafanuzi wa bakiza katika Kiswahili

bakiza

kitenzi elekezi

  • 1

    acha kutumia au kuchukua sehemu ya kitu.

    ‘Bakiza chakula’
    saza, cheleza, weka

Matamshi

bakiza

/bakiza/