Ufafanuzi wa bakunja katika Kiswahili

bakunja

nomino

  • 1

    mtu mjinga asiye na uangalifu wowote.

    bozibozi

Matamshi

bakunja

/bakunʄa/