Ufafanuzi wa balighisha katika Kiswahili

balighisha

kitenzi elekezi

  • 1

    fikisha maneno au salamu.

Asili

Kar

Matamshi

balighisha

/baliɚi∫a/