Ufafanuzi wa balozi katika Kiswahili

balozi

nominoPlural mabalozi

  • 1

    mtu anayepelekwa na serikali yake katika nchi ya kigeni ili kufanya kazi huko akiwa mwakilishi wa serikali.

  • 2

    kiongozi wa nyumba kumi kumi katika muundo wa serikali za mitaa, Tanzania.

Asili

Ktu

Matamshi

balozi

/balɔzi/