Ufafanuzi msingi wa bamba katika Kiswahili

: bamba1bamba2bamba3

bamba1

kitenzi elekezi

 • 1

  kamata mtu kwa nguvu.

  baka

 • 2

  ‘Umati wa watu ulikuwa umebamba barabara nzima’
  ziba

Matamshi

bamba

/bamba/

Ufafanuzi msingi wa bamba katika Kiswahili

: bamba1bamba2bamba3

bamba2

nomino

 • 1

  bati.

 • 2

  kitu chembamba na chenye ubapa.

Matamshi

bamba

/bamba/

Ufafanuzi msingi wa bamba katika Kiswahili

: bamba1bamba2bamba3

bamba3

nomino

Matamshi

bamba

/bamba/