Ufafanuzi wa bambatua katika Kiswahili

bambatua

kitenzi elekezi

  • 1

    tenganisha vitu vilivyoshikana.

    bandua, bambua

Matamshi

bambatua

/bambatuwa/