Ufafanuzi wa bambika katika Kiswahili

bambika

kitenzi elekezi

  • 1

    weka majini ili kulainisha.

    loweka, ambika

  • 2

    singizia jambo lisilo la kweli.

Matamshi

bambika

/bambika/