Ufafanuzi msingi wa bambua katika Kiswahili

: bambua1bambua2

bambua1

nominoPlural mabambua

  • 1

    samaki mwenye mdomo kama filimbi.

Matamshi

bambua

/bambuwa/

Ufafanuzi msingi wa bambua katika Kiswahili

: bambua1bambua2

bambua2

kitenzi elekezi~ana, ~ka, ~lia, ~liana, ~liwa, ~sha

  • 1

    ondoa ngozi, ganda au gome.

  • 2

    ambua, bambatua

Matamshi

bambua

/bambuwa/