Ufafanuzi wa bamiza katika Kiswahili

bamiza

kitenzi elekezi

  • 1

    sukuma kitu na kukigonganisha na kingine.

Matamshi

bamiza

/bamiza/