Ufafanuzi wa bandari katika Kiswahili

bandari

nominoPlural bandari

 • 1

  mahali ambapo vyombo vya baharini huingia na kutia nanga.

  kizimbwi

 • 2

  mji wenye mahali ambapo vyombo vya baharini huweza kuingia na kutia nanga.

 • 3

  Kibaharia
  zawadi wanayopewa mabaharia wakati tajiri anapokwenda safari ndefu.

  ‘Shali bandari’

 • 4

  forodha

Asili

Kaj

Matamshi

bandari

/bandari/