Ufafanuzi msingi wa bandia katika Kiswahili

: bandia1bandia2

bandia1

kivumishi

 • 1

  -a uongo.

  ‘Fedha bandia’
  ‘Cheti bandia’
  feki

Asili

Khi

Matamshi

bandia

/bandija/

Ufafanuzi msingi wa bandia katika Kiswahili

: bandia1bandia2

bandia2

nominoPlural bandia

 • 1

  kitu chochote cha uongo kilichofanywa kionekane kama cha kweli.

  ‘Mtoto wa bandia’
  ‘Askari wa bandia’
  ‘Fedha za bandia’
  ‘Cheti cha bandia’
  ‘Noti za bandia’

Asili

Khi

Matamshi

bandia

/bandija/