Ufafanuzi wa banduka katika Kiswahili

banduka

kitenzi sielekezi~ia, ~ika, ~isha

  • 1

    ondoka kwa kitu kilichoshikamana, agh. kwa gundi.

Matamshi

banduka

/banduka/