Ufafanuzi wa bangua katika Kiswahili

bangua

kitenzi elekezi~ka, ~lia, ~liana, ~liwa, ~sha

  • 1

    vunja ganda ili kutoa kiini k.v. cha korosho, kungu, kweme, badamu, n.k..

Matamshi

bangua

/banguwa/