Ufafanuzi wa banjo katika Kiswahili

banjo

nomino

  • 1

    chombo cha muziki chenye nyaya nne au zaidi, shingo ndefu na kitako kipana.

Asili

Kng

Matamshi

banjo

/banʄɔ/