Ufafanuzi wa baragumu katika Kiswahili

baragumu

nominoPlural mabaragumu

  • 1

    pembe kubwa iliyotobolewa tundu karibu na ncha yake, inayopigwa katika ngoma ili kutumbuiza au kutoa taarifa fulani kwa watu.

    panda, parapanda

Asili

Kar

Matamshi

baragumu

/baragumu/