Ufafanuzi wa baramaki katika Kiswahili

baramaki

nomino

  • 1

    mtu anayejifanya kuwa anajua kitu au jambo na hali hajui.

  • 2

    mtu mwenye hila.

    mjanja

Matamshi

baramaki

/baramaki/