Ufafanuzi wa barasi katika Kiswahili

barasi

nominoPlural barasi

  • 1

    ugonjwa wa ngozi unaotoa mabaka au madoa meupe.

    mbalanga

Matamshi

barasi

/barasi/