Ufafanuzi msingi wa baridi katika Kiswahili

: baridi1baridi2

baridi1

nominoPlural baridi

 • 1

  hali ya kutokuwa na joto; hali ya kupoa.

  ‘Leo kuna baridi kali’

 • 2

  hali ya kuzizima.

  mzizimo

Matamshi

baridi

/baridi/

Ufafanuzi msingi wa baridi katika Kiswahili

: baridi1baridi2

baridi2

kivumishi

 • 1

  -pole, -tulivu.

  ‘Mtu baridi’

 • 2

  -tamu

Matamshi

baridi

/baridi/