Ufafanuzi wa baridi yabisi katika Kiswahili

baridi yabisi

  • 1

    maumivu ya mifupa au viungo yanayosababishwa na baridi kali.

Asili

Kar

Ufafanuzi wa baridi yabisi katika Kiswahili

baridi yabisi

  • 1

    ugonjwa unaokausha mtu viungo kwa kukosa uto katika viungo.