Ufafanuzi msingi wa bariki katika Kiswahili

: bariki1bariki2

bariki1

kitenzi elekezi~ia, ~iana, ~ika, ~isha, ~iwa

Kidini
 • 1

  Kidini
  (kwa Mwenyezi Mungu tu) toa baraka.

 • 2

  Kidini
  -pa baraka; pokea na samehe Mkristo aliyeasi.

Asili

Kar

Matamshi

bariki

/bariki/

Ufafanuzi msingi wa bariki katika Kiswahili

: bariki1bariki2

bariki2

kitenzi sielekezi~ia, ~iana, ~ika, ~isha, ~iwa

 • 1

  kuwa kiasi cha kutosha.

  ‘Chakula kimebariki’

Matamshi

bariki

/bariki/