Ufafanuzi wa barometa katika Kiswahili

barometa

nominoPlural barometa

  • 1

    kifaa kinachotumiwa kupimia shinikizo la hewa.

Asili

Kng

Matamshi

barometa

/barɔmɛta/