Ufafanuzi wa barua katika Kiswahili

barua

nomino

  • 1

    maandishi yenye ujumbe yanayopelekwa kwa mtu mwingine kwa njia ya mkono au kupitia posta.

    waraka

Asili

Kar

Matamshi

barua

/baruwa/