Ufafanuzi wa baruapepe katika Kiswahili

baruapepe

nominoPlural baruapepe

  • 1

    ujumbe unaotumwa kwa njia ya elektroniki kupitia kompyuta au simu iliyounganishwa kwenye mfumo wa mtandao wa intaneti.

Matamshi

baruapepe

/baruwapɛpɛ/