Ufafanuzi wa baruti katika Kiswahili

baruti

nominoPlural baruti

  • 1

    unga wa kijivujivu unaolipuka ambao hutumiwa kutengenezea k.v. njiti za kibiriti, baadhi ya risasi au fataki.

Asili

Ktu

Matamshi

baruti

/baruti/