Main definitions of basi in Swahili

: basi1basi2basi3

basi1

conjunction

 • 1

  neno la kumtaka mtu aache kufanya jambo.

 • 2

  neno ambalo hutumika kuendeleza mazungumzo, maelezo au hadithi.

Pronunciation

basi

/basi/

Main definitions of basi in Swahili

: basi1basi2basi3

basi2

exclamation

 • 1

  neno la kuashiria kikomo au mwisho wa jambo.

  ‘Urafiki wetu sasa basi’
  tu

Pronunciation

basi

/basi/

Main definitions of basi in Swahili

: basi1basi2basi3

basi3

noun

 • 1

  gari kubwa la kuchukua abiria.

Origin

Kng

Pronunciation

basi

/basi/