Ufafanuzi wa bastola katika Kiswahili

bastola

nomino

  • 1

    silaha ndogo kama bunduki aghalabu hushikwa na kufyatuliwa kwa mkono mmoja.

Asili

Kng

Matamshi

bastola

/bastɔla/