Ufafanuzi wa basua katika Kiswahili

basua

nomino

  • 1

    hali ya kuwa na wasiwasi.

    hangaiko

Matamshi

basua

/basuwa/