Ufafanuzi wa bata katika Kiswahili

bata

nominoPlural mabata

  • 1

    ndege wa porini au anayefugwa, mkubwa kuliko kuku, agh. hupenda kukaa majini, mwenye miguu mifupi yenye utando wa ngozi katikati ya vidole unaomwezesha kuogelea majini.

Asili

Kar

Matamshi

bata

/bata/