Ufafanuzi wa batakanari katika Kiswahili

batakanari

nomino

  • 1

    bata mdogo kuliko bata wa kawaida na mwembamba, hupenda kuishi kwenye maji mengi wakati wote.

Matamshi

batakanari

/batakanari/