Ufafanuzi wa batalioni katika Kiswahili

batalioni

nominoPlural batalioni

  • 1

    kikosi cha askari ambacho ni sehemu ya brigedi au rejimenti.

Asili

Kng

Matamshi

batalioni

/batalijɔni/