Ufafanuzi wa batamzinga katika Kiswahili

batamzinga

nominoPlural mabatamzinga

  • 1

    ndege mkubwa afananaye na bata mwenye manyoya ya kahawia, kichwa kisicho na manyoya na shingo yenye ngozi ya makunyanzi isiyo na manyoya.

    piru

Matamshi

batamzinga

/batamzinga/