Ufafanuzi msingi wa bati katika Kiswahili

: bati1bati2

bati1

nominoPlural mabati, Plural bati

  • 1

    madini meupe kidogo yanayofanana na risasi ila ni magumu.

Ufafanuzi msingi wa bati katika Kiswahili

: bati1bati2

bati2

nominoPlural mabati, Plural bati

  • 1

    bamba la chuma.

  • 2

    bamba la chuma lenye mikunjokunjo kama matuta madogo, agh. hutumika kuezekea nyumba.

Asili

Khi

Matamshi

bati

/bati/